Ridhwani aachia ngazi IMMA?

Ridhwani aachia ngazi IMMA?

Kunta Kinte

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Posts
3,690
Reaction score
1,288
Wadau kuna taarifa kwamba Ridhwani ametoa Notice ya kuacha kazi IMMA advacates baada ya kusemewa mbovu na Magai, je taarifa hizi ni za kweli? mwenye kujua zaidi atujuze tafadhali
 
kamulize baba yake? atakuwa na taarifa zaidi
 
Inawezekana pia, anaweka akawa mshauri rasmi wa rais
 
Naona alikuwa anaiboa management ya IMMA,kwa kuwa muda mwingi alikuwa anajihusisha na masuala ya kampeni za baba yake!na kusahau kuwa yeye ni mfanyakazi kama wafanyakazi wengine,na anapaswa kutii na kuheshimu sheria za kazi!
 
Wadau kuna taarifa kwamba Ridhwani ametoa Notice ya kuacha kazi IMMA advacates baada ya kusemewa mbovu na Magai, je taarifa hizi ni za kweli? mwenye kujua zaidi atujuze tafadhali

By the way...who & what is Magai? na alisemewa kitu gani...(mvua njooo katerina njooo)
 
me naona wote ni wale wale ....wakafie mbali hawana jipya.sio IMMA wala huyo Ridhiwan
 
Ngoja after 2015 kama ataghara kama anavyouza sura now!
 
By the way...who & what is Magai? na alisemewa kitu gani...(mvua njooo katerina njooo)

IMMA ni:

-Ishengoma (Sasa hivi ni judge wa mahakama kuu-mteule wa JK)

-Magai

-MAsha

Hivyo Magai ni mmoja wa founders wa IMMA
 
Ngoja after 2015 kama ataghara kama anavyouza sura now!

Mambo haya ya kusubiriana watu wanguke mbona unanitisha, inamana na mimi ina wezekana kuna watu wananiambia ngoja ngoja au hata wewe watu wanakusubiri wanaimba ngoja ngoja .
 
IMMA ni:

-Ishengoma (Sasa hivi ni judge wa mahakama kuu-mteule wa JK)

-Magai

-MAsha

Hivyo Magai ni mmoja wa founders wa IMMA

Asante mkuu kwa elimu uliyotoa, ina maana alikuwa anaelekezwa nidhamu na yeye akasusa kwa kiburi cha urais wa baba yake...na akafirieko mbali kokote kule
 
Back
Top Bottom