Ridhwani Kikwete awaponda Diamond na Ali Kiba, awapa onyo

naona unatafuta views mkuu , kazana
 
Yeye anaongea kama Nani? Hizi shule za law zipo sawa kweli? Huyu ana taaluma ya sheria kama sikosei! Ile show ya dumbest kid
 
Yeye anaongea kama Nani? Hizi shule za law zipo sawa kweli? Huyu ana taaluma ya sheria kama sikosei! Ile show ya dumbest kid
Kwani ukiwa na taaluma ya sheria basi moja kwa moja ndo unakuwa na akili? Moja kwa moja ndo unakuwa genius? Moja kwa moja ndo unakuwa na common sense? Moja kwa moja ndo unakuwa mtema mipointi ya nguvu?

Mimi kila siku nakutana na wanasheria kibao tu watema pumba.

Taaluma ya sheria haimfanyi mtu awe na akili wala hekima na busara za ziada kushinda wengine.

Ushawahi kumsikia Dr. Mwakyembe akiongea?[emoji23] [emoji23]
 
Riz moko namkubali sana, ila najiulizaga tu kama kweli Miraji alimfikishia Cv yangu, maana si kwa msoto huu kitaa
 
Mkuu sipingani na hoja. Sipo kubishana Mkuu. Nami Mungu kanijalia uwezo wa kufikiri na kutoa mawazo.
 
huu mtaji wake wa siasa kupitia kwa wasanii na hiki kizaz atarajie return kubwa sana na hii investment
 
Mbona hujasema na alipomsifia kiba kuhusu kucheza mpiraaa
 
Duh 2pac na [HASHTAG]#Big[/HASHTAG] wafananishwa na diamond na Alikiba? Kweli mwisho wa dunia unakaribia.
 
Naona anajiupdate maana anpotea sana kwa media nae
 
Dah, mbunge wetu bwana! Jimbo la baba na sasa kachukua mwana, sijui bado miaka mingapi na wajukuu kutawala!
 
Kama amemaanisha watakuja kuuana, basi atasubiri sana. Sifa ya mbongo kwanza ni muoga. Kati ya hao wawili sioni hata anayeweza kunyanyua kisu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…