Rifaro Africa!!!!

Kapo Jr

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
996
Reaction score
280
nilipita mahala nikakutana na muelimishaji wa kampuni hiyo,akichombeza eti ana mwaka tangu ajiunge na Rifaro africa ila kujiunga unatozwa tsh 128500,hofu yangu je kampuni ipo kihalali?au ndio mambo ya current "DECI" naheshimu mawazo ya wana jf ni wengi wana uelewa wa mambo tata,nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
x-mass so kila mtu yupo busy!
 

Walishajua watanzania wengi wanapenda maisha ya bahati na sibu,hivyo wanakuja na style mpya za kuitapeli
Fanyeni kazi achaneni kupenda mafanikio ya kujikwaa
 
Last edited by a moderator:
hao jamaa hata mim nimekutana nao ila sjawaelewa, sio style za kina forever living kwel?
 
Sio kama forever living
Rifaro humshawishi MTU kununua vocha znapatikana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…