Rigathi Gachagua atakiwa kuripoti ofisi ya DCI kuandikisha maelezo ya madai ya majaribio ya kuuawa'

Rigathi Gachagua atakiwa kuripoti ofisi ya DCI kuandikisha maelezo ya madai ya majaribio ya kuuawa'

BabaMia

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2024
Posts
270
Reaction score
554
Idara ya uchunguzi wa makosa ya jinai DCI nchini Kenya imemwagiza naibu Rais Rigathi Gachagua kujiwasilisha katika makao makuu ya idara hiyo jijini Nairobi kuandikisha taarifa kuhusu madai ya jaribio la kumuua mara mbili na watu anaosema ni maafisa wa idara ya ujasusi NIS.

Soma Pia: Gachagua: Nimekutana na majaribio mawili ya kuuawa wa sumu

20241021_221754.jpg
 
Nashauri, asipo cooperate ashtakiwe kwa instigation of terror na afungwe liwe fundisho kwa viongozi kuacha kuropokaropka!
 
Uzuri ana mawakili mahiri, japo pia naona hii saga haiishi leo wala kesho!
 
Back
Top Bottom