Mr kaunga
Member
- Nov 9, 2021
- 9
- 14
Habari zenu wana familia ya jamii Forums ndugu yenu nna shida naimani naweza pata msaada kupitia nyinyi mimi kitaaluma ni dereva na nina driving licence yenye daraja A B C1 C2 C3 D E na nilisoma NIT mwaka 2013 kozi ya ADVANCED DRIVING GRADE TWO (VIP) Ndugu zangu naomba mnisaidie kupata kazi kokote iwe kumuendesha mtu binafsi, serikalini au gari za uber na bolt kwa hiii biashara nikipata gari ya mkataba itakua vizuri zaidi kwakua nilizifanya sana nnauzoefu nayo na app bado ninazo mawasiliano yangu ni +255 653 777 640 kwamazungumzo vizuri.