SoC04 Right Service Centre

SoC04 Right Service Centre

Tanzania Tuitakayo competition threads
Joined
Jun 14, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Kwa kua sehemu za kupata haki ndio kunaongoza kwa kua na rushwa bhas mimi nashauri serikali kuangalia suala la kua na right RIGHT SERVICE CENTRE maeneo kama polisi na maeneo mengine ya haki kama ilivyo kwa taasisi binafsi kama benki kunakua na CUSTOMER SERVICES CENTRES

RIGHT SERVICE CENTRE itansaidia mtuhumiwa kujua makosa yake na kujua haki yake pia na itarahisisha upatikanaji wa haki hivyo kabla mtuhumiwa kupelekwa mahabusu atahitajika kupita kwenye right service centre ambapo inaweza ikawa either ni room or otherwise ambayo itamsaidia mtuhumiwa kujua makosa yake na kujua haki yake

pindi mtuhumiwa atakapojua haki yake itasaidia kuepuka rushwa ambayo wanapokea maafisa wa polisi na hii itapunguza kwa kiasi kikubwa rushwa maana hii ndo chanzo cha upotoshaji na matishio wanayopata watuhumiwa
Mwakilishi wa right centre atakua ni wakili wa serikali ambaye hafungamani na upande wowote ambapo serikali kupitia wizara husika itawaajiri
 
Upvote 4
Back
Top Bottom