Right to privacy

Right to privacy

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Kenya imeanza kuvunja haki ya faragha kwa kuzuia askari polisi kuchumbiana na kuona. Hii siyo haki kabisa, ni uonevu
FB_IMG_1620828681771.jpg
 
Haiya eeh! Kwani mtu unapangiwa umpende nan? Hivi,penzi linachagua? Wakenya mnapangiwa umuoe nan,na usimuoe nan? Failed state, ingekuwa Tanzania 🇹🇿,ungesikia Hawa takataka,wangebeza humu!
 
Haiya eeh! Kwani mtu unapangiwa umpende nan? Hivi,penzi linachagua? Wakenya mnapangiwa umuoe nan,na usimuoe nan? Failed state, ingekuwa Tanzania [emoji1241],ungesikia Hawa takataka,wangebeza humu!
Hapo democrasia yao imejaribiwa na wamejaribika
 
Its basic knowledge that if you work in any office or government jobs, even in the private sector, dating your junior is not allowed.

Hata USA kuna congress lady wa California who resigned last year because she was caught dating her subordinate.
 
Mwalimu kuoa mwalimu sawa
Mhasibu kuoa mhandisi sawa
Daktari kuoa daktari sawa
Mfanyabiashara kuoa mfanyabiashara sawa

Lkn
Polisi kuoa polisi si sawa. Mna funza vichwani si bure
 
Mwalimu kuoa mwalimu sawa
Mhasibu kuoa mhandisi sawa
Daktari kuoa daktari sawa
Mfanyabiashara kuoa mfanyabiashara sawa

Lkn
Polisi kuoa polisi si sawa. Mna funza vichwani si bure
Umeona km hujaelewa kitu ni kuwehuka tu..
 
Back
Top Bottom