Hapo democrasia yao imejaribiwa na wamejaribikaHaiya eeh! Kwani mtu unapangiwa umpende nan? Hivi,penzi linachagua? Wakenya mnapangiwa umuoe nan,na usimuoe nan? Failed state, ingekuwa Tanzania [emoji1241],ungesikia Hawa takataka,wangebeza humu!
Good riddance, this will help maintain professionalism.Kenya imeanza kuvunja haki ya faragha kwa kuzuia askari polisi kuchumbiana na kuona. Hii siyo haki kabisa, ni uonevu View attachment 1782468
Mwalimu kuoa mwalimu sawaIts basic knowledge that if you work in any office or government jobs, even in the private sector, dating your junior is not allowed.
Hata USA kuna congress lady wa California who resigned last year because she was caught dating her subordinate.
Umeona km hujaelewa kitu ni kuwehuka tu..Mwalimu kuoa mwalimu sawa
Mhasibu kuoa mhandisi sawa
Daktari kuoa daktari sawa
Mfanyabiashara kuoa mfanyabiashara sawa
Lkn
Polisi kuoa polisi si sawa. Mna funza vichwani si bure