Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Naona kuna njemba hapo nyuma anafatilia kwa makini kitakachojiri nadhani ndio maana akapata nguvu ya kumpiga sijajua ni wapi hapo ila angekutana wazee wa kazi wa Brooklyn sidhani km angegeuka ata kuangalia sura.
Wenye shape zao lakini mtu kama mie atashika wapi labda kama anitafuta ugomvi
Wenye shape zao lakini mtu kama mie atashika wapi labda kama anitafuta ugomvi
Angekuwa nigga alioshika angepotezea
Kwan hawapendi wazungu??