Rihana awapatia wasichana wa Malawi baiskeli za kuendea shule

Hao wazungu / wamarekani wana lengo la kupoteza bikra za watoto wetu, na kufanya zisipatikane Africa
Hata madawati mawili hujawahi kuchangia ila ndio wa kwanza kuandika vitu negative....Mwafrika bwana....
 
Msanii wa muziki nchini Marekani Rihanna ametoa msaada wa kiasi cha Us dola milioni 20 nchi Malawi kwa ajili ya kusaidia miundombinu katika sekta ya Elimu. Ilikuwa june 8
Hivi wanakimbiliaga malawi tu Tanzania hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…