Rihanna Akiwa Amevalia Cheni Na Kufuli Shingoni

Rihanna Akiwa Amevalia Cheni Na Kufuli Shingoni

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Rihanna jijini London aliwasili huku amevalia chain katika shingo pamoja na kuvuli...Rihanna anakisiwa kuwa na mahusiano ambayo bado hayajakuwa wazi na msanii Drake.


Cheki baadhi ya picha zikimuonyesha Riri na chombo hicho.


article-2578041-1C2E62AF00000578-464_634x828.jpg




article-2578041-1C2E499800000578-57_634x503.jpg





Credit: bkuHABARI Blog

 
Hiyo fasheni ya kuvaa Chain na kufuli mbona niyasiku nyingi? Aliekua anavaa hivyo siku nyingi ni msanii DMX!
 
naona kufuli lina symobol ya Channel ... ila kuna watu tutawaona weekend hii na Tri-circle zao wanajidai 'its trending'
 
maana ya hilo kufuli ni kwamba sasa kawafungia midume yoote...anafungua drake peke yake
 
Back
Top Bottom