Ibrahim300 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 390 Reaction score 68 Mar 11, 2014 #1 Rihanna jijini London aliwasili huku amevalia chain katika shingo pamoja na kuvuli...Rihanna anakisiwa kuwa na mahusiano ambayo bado hayajakuwa wazi na msanii Drake. Cheki baadhi ya picha zikimuonyesha Riri na chombo hicho. Credit: bkuHABARI Blog
Rihanna jijini London aliwasili huku amevalia chain katika shingo pamoja na kuvuli...Rihanna anakisiwa kuwa na mahusiano ambayo bado hayajakuwa wazi na msanii Drake. Cheki baadhi ya picha zikimuonyesha Riri na chombo hicho. Credit: bkuHABARI Blog
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Mar 12, 2014 #2 Wataiga mda si mrefu
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 585 Mar 12, 2014 #3 Adharusi said: Wataiga mda si mrefu Click to expand... Nani wataiga?
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,271 Mar 12, 2014 #4 theki said: Nani wataiga? Click to expand... team kuiga vitu mbalimbali
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Mar 12, 2014 #5 Kwa hiyo hilo kufuli lina maana ganii!?la drake au?
gigifiona Member Joined Dec 18, 2013 Posts 14 Reaction score 5 Mar 12, 2014 #6 Ht mm cjamuelewa nikajua kufuli pich😛
W Walas Ba JF-Expert Member Joined Sep 6, 2012 Posts 3,390 Reaction score 1,719 Mar 13, 2014 #7 Wiki ijayo tutaktana na solex mujini
charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,460 Reaction score 5,992 Mar 14, 2014 #8 Dinazarde said: Kwa hiyo hilo kufuli lina maana ganii!?la drake au? Click to expand... maana ake kafungwa dunian mpaka kuzimu,na ufunguo haujui ulpo hahah
Dinazarde said: Kwa hiyo hilo kufuli lina maana ganii!?la drake au? Click to expand... maana ake kafungwa dunian mpaka kuzimu,na ufunguo haujui ulpo hahah
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,299 Mar 14, 2014 #9 Hiyo fasheni ya kuvaa Chain na kufuli mbona niyasiku nyingi? Aliekua anavaa hivyo siku nyingi ni msanii DMX!
Hiyo fasheni ya kuvaa Chain na kufuli mbona niyasiku nyingi? Aliekua anavaa hivyo siku nyingi ni msanii DMX!
Sita Sita JF-Expert Member Joined Aug 25, 2008 Posts 1,397 Reaction score 520 Mar 14, 2014 #10 naona kufuli lina symobol ya Channel ... ila kuna watu tutawaona weekend hii na Tri-circle zao wanajidai 'its trending'
naona kufuli lina symobol ya Channel ... ila kuna watu tutawaona weekend hii na Tri-circle zao wanajidai 'its trending'
queen monroe Member Joined Jan 7, 2014 Posts 86 Reaction score 35 Mar 14, 2014 #11 maana ya hilo kufuli ni kwamba sasa kawafungia midume yoote...anafungua drake peke yake