Mwanadada huyu wa nyimbo ya 'Man Down' aliweza kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake jana na aliweza kurusha picha kwa mtandao zilimuonyesha msanii huyu akiwa na tabasamu kuu.
Hakuna mtu aliyetarajia kuona picha za rihanna za uchi siku kama hii kubwa kwake
Katika sherehe hio Rihanna aliweza kuwaalika marafiki zake wa karibu kusherehekea pamoja.