Rihanna na BF wake mpya usipime

Naona mila inazidi kudumu imefika ratio ngapi 1:5 or 6 or 7 teh teh teh! be carefull maana nina wivu mie hata mate siwezi meza.
 
Naona mila inazidi kudumu imefika ratio ngapi 1:5 or 6 or 7 teh teh teh! be carefull maana nina wivu mie hata mate siwezi meza.
HEHEHE!
don't tell me we ndo ANNINA!KWAMBA WEWE UNA AIDII MBILI KAMA WAKINA NANIHIIπŸ˜€
 
Au utakuwa unakosea jina si unajua tuko wengi.
hehehe!
mke mdogo sio rahisi kukosea...!
sema wewe tu hutaki kunijibu
lakini nimezoea,mara nyingi wake wadogo wanapenda kubembelezwa!
 
HEHEHE!
don't tell me we ndo ANNINA!KWAMBA WEWE UNA AIDII MBILI KAMA WAKINA NANIHIIπŸ˜€

Geoff, Jana nilipewa nafasi ya kudumisha MILA baada ya kuomba ushauri juu ya wivu nilionao (naamini vigezo vilizingatiwa), labda Lily Flower amegundua wivu ni ticket itakayomfikisha huko - anataka kuwa sehemu ya takwimu za kudumisha MILA!

Annina
 
sasa ulipaswa kunipi-emu ili UDUMISHE MILA NA MIMI!...hasa ukizingatia ninazungumzia siku 36 kabla ya kuachana na hii mambo.i need to do it MORE AND MORE AND MORE............!

PLEASE NAOMBA UDUMISHE NA MIMI BASI TENA
 
hehehe!
mke mdogo sio rahisi kukosea...!
sema wewe tu hutaki kunijibu
lakini nimezoea,mara nyingi wake wadogo wanapenda kubembelezwa!
Kumbe unajua what r u weiting fo.
 
sasa ulipaswa kunipi-emu ili UDUMISHE MILA NA MIMI!...hasa ukizingatia ninazungumzia siku 36 kabla ya kuachana na hii mambo.i need to do it MORE AND MORE AND MORE............!

PLEASE NAOMBA UDUMISHE NA MIMI BASI TENA

Geoff naona unanitafutia balaa, wewe nitakubadili vingapi? nadhani mpaka keyboard yako...
 
Geoff naona unanitafutia balaa, wewe nitakubadili vingapi? nadhani mpaka keyboard yako...
hahaha!
for you I WILL CHANGE MMAMII!hata kazi ukitaka nitaacha,hata jeiefu nitaachana nayo,JUST FOR YOU!.......trust me!YOU HAVE MY WORDS.

PLEASE,tukadumishe mila!...(hata sasa)...!πŸ˜€
 
halafu pi-emu zangu hujibu....
kwanin?
unataka nikutongoze upya hadharani?
Unaogopa nini G, mwaga sera hadharani, we mtoto wa kiume usione aibu, na ukishindwa tutakusaidia maneno mazuri ya kumconvice hapahapa πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…