Rihanna ni zaidi ya mwenda wazimu, cheki mavazi yake

Rihanna ni zaidi ya mwenda wazimu, cheki mavazi yake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Rihanna-instagram-picture-2037484.jpg


She's a rude girl
instagram

She is a busy lady, what with designing a clothes range, being on a world tour and keeping up with what we imagine is a rather gruelling beauty regime.
But when you are Rihanna, there is always time to relax in a bikini, neck a few cocktails and sexily scowl at some fans.
Superstar Rih-Rhi spent a free afternoon on the Polish shores in the city of Sopot with pal Melissa Forde.
Slipping into a string bikini the Diamonds singer accessorised her beach wear with a sexy pout and some chunky jewellery.

Rihanna-on-the-beach-in-Sopot-2037311.jpg


Overall we have to say her look was a big hit

"We had a lot more fun this time round," her co-designer Adam Selman told Vogue.

Rihanna-on-the-beach-in-Sopot-2037314.jpg


Why cover up? Rihanna slips into a mesh skirt so everyone can see... well... everything
 
Mmh rihana siku zinavyozidi kwenda nawe anaongeza vituko....
 
Aisee haka katoto kazuri kuliko hata Beyonce
 
Mimi huwa nawashangaa sana mnaosifia uzuri wa mtu badala ya utamu wake. Yaani mkobize kusifia!. Ukisikia ubwege ndio huo
 
Uyo ni wa kawaida anaitwa mzuri sababu ya kukaa uchi na watu kuona maungo yake lakin wanawake wote wangekuwa wanakaa uchi uyo angejificha uvunguni

Mwambie huyo hana uzuri wowotee ndio maana hata Chriss humkimbiaa
 
Rihhana yuko poa sana jamani acheni wivu.mwacheni mtoto akule maisha kwa raha zake.akifa atalia kaburini?maisha yenyewe mafupi
 
Acha zako yani kusoma ujui ata picha huoni uhoni Kama apo ni beach ulitaka avaaje nenda coco beach uone wanavyo vaa zaidi ata ya hapo
 
Acha zako yani kusoma ujui ata picha huoni uhoni Kama apo ni beach ulitaka avaaje nenda coco beach uone wanavyo vaa zaidi ata ya hapo

Nina picha nyingi za rihana za utupu na hakiwa mtaani si beach nitazitupia urizike
 
Hiyo beach watu walivyojaa kama Coppa Cabana Brasil
 
Hata mie nimegundua yupo mazingira ya beach ila sasa watu wakaamua kuchukua picha na kutengenezea headline! Hata hivyo watu kumwandika sana huyu kiumbe ndiyo kumpa sifa zaidi kwa sababu kukaa kaa uchi ndiyo brand ya Rihanna! Na wapenzi wa kazi zake wanampenda zaidi kwa kazi zake na jinsii yeye kama alivyo!
Alikua Beach. Asingevaa hivo avaeje?
 
Back
Top Bottom