Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
[emoji1] [emoji1] wewe mzima kweri?Jamaa yupo kwenye msiba wa dada yake, wakati jeneza linatolewa ndani watu wote msiba walikuwa wakilia. Mara simu ya Jamaa akaita kwa ringtone ya
dada huyoo anaolewaa, dada huyoo anaolewaa, mahali kishatolewa, mahali kishatolewaa x5. Jamaa kuzima simu anashindwa maana kabeba jeneza na simu inaendelea kuita.
Kilichoendelea mi sijui!
[emoji1] [emoji1] wewe mzima kweri?
Nimecheka sana huo ni bonge la msala
HahaahahaaaaJamaa yupo kwenye msiba wa dada yake, wakati jeneza linatolewa ndani watu wote msiba walikuwa wakilia. Mara simu ya Jamaa akaita kwa ringtone ya
dada huyoo anaolewaa, dada huyoo anaolewaa, mahali kishatolewa, mahali kishatolewaa x5. Jamaa kuzima simu anashindwa maana kabeba jeneza na simu inaendelea kuita.
Kilichoendelea mi sijui!
Hizo kiki za kitoto peleka kwenye magroup ya facebook mtu huwez kubeba jeneza lenye mwili wa dada ako hizo nguvu unaztoa wap unles kama mlikuw mnashutu sce ya ze komedy