Rio aporwa bwana na rafiki yake

Rio aporwa bwana na rafiki yake

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Wakati dada zetu na bibi zetu maarufu hapa bongo Tz wakigombania wakongo na kunyang'anyana kama sukari iliyofichwa,upande wa pili kaka zetu nao hawapo nyumaa kwenye madanga ya ulaya ulaya
Inasemekana etiiiii yule modo maarufu hapa nchinii Rio kanyakuliwa danga lakeee na ......... huyu hapa pichanii
1473148003551.png

Danga lenyewe la ulaya ulaya hili hapaaa likiwa na mnyakuaji wa kimataifa
1473148061997.png

Sasa Rio huko ulipo pole utapata danga lingine hata mkongo tu chukua maana nyie nao mshashindikana mtakuja kutuibia hadi waume zetu ila ndio hivyo wanaume wa Daslam ndio mambo yenu hayooo,tumuombee Rio apone na maumivu makalii cc warumi
1473148186333.png
 
Hao wapuuzi ndio wanafanya watu wawe na mtazamo wa kufikiri kila mbunifu wa mavazi na wanamitindo wa kiume ni mashoga mbona wenzao wakina Martini kadinda na Sheria Ngowi hawana skendo za kijinga hivyo na wanafanya kazi kimataifa mbaka wamekuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wenzao!
 
Dina ngoja nikwambie hajaporwa ni hivi rio ndo alianza na uyo mzungu akapangishiwa masaki, badae uyo mzungu akawa anamtaka noel na kumwambia rio ikabdi rio amwambie mzungu sbbu ye na noel ni marafiki wakae wote kwenye nyumba uku wote ana wahudumia mzungu kukubali sasa sijui kama waligombana
 
Khaaaaa kweli wanaume wanazidi kupotea. Mungu bariki matumbo yetu
 
Back
Top Bottom