Rio Ferdinand afiwa na Mke wake Rebecca

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250

Rio Ferdinand ambaye ni mchezaji wa zamani wa Manchester United (kwa sasa akiitumikia Klabu ya Queens Park Rangers), amefiwa na mke wake anayeitwa Rebecca.

Mwanamama Rebecca alikuwa akisumbuliwa na Cancer kwa muda mrefu sana.

Rebecca amefariki dunia leo asubuhi.


Rio Ferdinand married Rebecca Ellison in 2009.

http://i2.manchestereveningnews.co....485851_image_list_image_list_item_0_image.jpg

http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2010/05/05/article-0-096E4CE6000005DC-560_468x699.jpg
http://www.bbc.com/news/world-32563022
 
Cancer ni shida sana kwa wenzetu hawa
 
Duh! kila kiumbe kitaonja umauti pole yake na United fan's wote na wana michezo kwa ujumla
 
RIP shem,leo nilikuwa naangalia marudio ya mechi ya kirafiki jinsi Rio alivyoumizwa na Mrisho Ngasa.
 
Kansa kwa watu weupe ni shida...
 
​RIP Rebecca gone to soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…