Baada ya kwisha kwa mbio hizi, Rupp aliongea Farah na kushindwa kuelewa ni nini hasa kilitokea!More on Rupp tripping Farah, from Ian Prior at the stadium:
Galen Rupp looked distinctly horrified after tripping his training partner Mo Farah. The American dropped back, waited for Farah to regain his footing and then tried to pace him back to the front of the race. Farah didn’t look quite the same for a lap but is now back tracking the leaders. What has that taken out of him?
United States’ Galen Rupp looks round at Mo Farah.
Baada ya kwisha kwa mbio hizi, Rupp aliongea Farah na kushindwa kuelewa ni nini hasa kilitokea!
Seems surreal..No one (even Jo himself) could see this coming..Kwanini umeshangazwa Mkuu!?
Naona marathon ya wakina dada inapamba Moto. Wako kilometa ya nane sasa naona wadada wa kikenya na kiethiopia wanachuana vibaya. Dada mmoja wa kitanzania Yuko kwenye kundi hili pia
Marathon ya kinadada muda huu. ...