jitu la kale
Member
- Dec 29, 2010
- 77
- 18
Bolt kesha book nafasi yake katika fainali. .. kwa muda wa 9.86
Felix katika heat 3 ya mita 400View attachment 381807
...... Ila kutumia nguvu nyingi sana huyo USA baby GatlinJustin Gatlin ka clock 9.94....
Hahahaaa...
...... Ila kutumia nguvu nyingi sana huyo USA baby Gatlin
Kuna kila dalili rekodi ya dunia kuvunjwa tena leo.