Rio Olympics 2016:Orodha ya medali inaonekana nchi za kiafrika hatuthamini michezo kabisa

Rio Olympics 2016:Orodha ya medali inaonekana nchi za kiafrika hatuthamini michezo kabisa

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
16,879
Reaction score
31,253
# Nchi Medali za dhahabu Medali za fedha Medali za shaba Jumlisha
1
us.png
MarekaniMarekani
3 5 4 12
2
chn.png
UchinaUchina
3 2 3 8
3
aus.png
AustraliaAustralia
3 0 3 6
4
ita.png
ItaliaItalia
2 3 2 7
5
kor.png
Korea KusiniKorea Kusini
2 2 1 5
6
hun.png
HungaryHungary
2 0 0 2
7
rus.png
UrusiUrusi
1 2 2 5
8
gb.png
UingerezaUingereza
1 1 0 2
8
swe.png
SwedenSweden
1 1 0 2
10
jpn.png
JapanJapan
1 0 6 7
11
tpe.png
Taipei ya ChinaTaipei ya China
1 0 1 2
11
tha.png
ThailandThailand
1 0 1 2
13
arg.png
ArgentinaArgentina
1 0 0 1
13
bel.png
UbelgijiUbelgiji
1 0 0 1
13
kos.png
KosovoKosovo
1 0 0 1
13
ned.png
UholanziUholanzi
1 0 0 1
13
vie.png
VietnamVietnam
1 0 0 1
 
18
can.png
CanadaCanada
0 1 1 2
18
kaz.png
KazakhstanKazakhstan
0 1 1 2
20
brz.png
BrazilBrazil
0 1 0 1
20
den.png
DenmarkDenmark
0 1 0 1
20
fra.png
UfaransaUfaransa
0 1 0 1
20
idn.png
IndonesiaIndonesia
0 1 0 1
20
nz.png
New ZealandNew Zealand
0 1 0 1
20
prk.png
Korea KaskaziniKorea Kaskazini
0 1 0 1
20
phi.png
UfilipinoUfilipino
0 1 0 1
20
sa.png
Afrika KusiniAfrika Kusini
0 1 0 1
28
uzb.png
UzbekistanUzbekistan
0 0 2 2
29
gre.png
UgirikiUgiriki
0 0 1 1
29
pol.png
PolandPoland
0 0 1 1
29
spa.png
UhispaniaUhispania
0 0 1 1
Uongozaji
 
Naona Colombia waliwaonea ndugu zetu Nigeria kwenye gemu la leo ingawa Nigera bado iko nafasi ya kwanza na itaingia robo fainali. Dakika za mwisho mwisho Nigeria ilikuwa inakimbizwa sana wakawa wanafukuzia mpira badala ya kutawala ulekeo wa mpira.
 
30. South Africa

42. Egypt

44. Tunisia

And that's it.
 
Tanzania haitaambulia chochote katika mashindano haya kana ambavyo imekuwa ikitokea kwenye Olympic zilizopita. Suala kuu ni matayarisho duni na ufisadi. Nchi za wenzetu wanariadha wanatayarishwa kuanzia kwenye grass roots na wanakaa kambini mwaka mmoja hadi minne. Sisi tumefuta UMISETA, UMUSHUMITA, michezo Mashuleni etc na tunaweka kambi ya wana michezo wetu kwa wiki tatu....halafu yunapelrka timu ya wanamichezo 4 na viongozi 12, shame shame I say, shame shame shame on us all!!
 
Ina maana hadi kufikia hapo Kenya na Ethiopia hawajapata kitu........ naogopa kuizungumzia TZ nisijepata maradhi ya kujitakia bure.
 
Ina maana hadi kufikia hapo Kenya na Ethiopia hawajapata kitu........ naogopa kuizungumzia TZ nisijepata maradhi ya kujitakia bure.
Hapo fainali za riadha bado mkuu
 
Back
Top Bottom