Tanzania haitaambulia chochote katika mashindano haya kana ambavyo imekuwa ikitokea kwenye Olympic zilizopita. Suala kuu ni matayarisho duni na ufisadi. Nchi za wenzetu wanariadha wanatayarishwa kuanzia kwenye grass roots na wanakaa kambini mwaka mmoja hadi minne. Sisi tumefuta UMISETA, UMUSHUMITA, michezo Mashuleni etc na tunaweka kambi ya wana michezo wetu kwa wiki tatu....halafu yunapelrka timu ya wanamichezo 4 na viongozi 12, shame shame I say, shame shame shame on us all!!