Tumekuwa tukijadili kwa kina muda wa wakimbiaji hodari wa marathon wanaotumia, lakini habari hii ya Dennis Kimetto ''kuchemsha'' na kujitoa wakati ni bingwa wa rekodi ya dunia ina maana wale wote wanaoweza kukimbia chini ya muda wa 2:14:00 wana nafasi ya kupata medali mradi tu watumie technic nzuri. Hivyo hata wakimbiaji wa-Tanzania ktk marathon Rio2016 wanaweza kuibuka na medali za Gold, Silver au Bronze.Hapo juu, unataka kutueleza nini haswa?
Acha kuni enjoy msela. Hivi unafaham kuwa kuingia kikosi cha Kenya ya Olympics inahitaji uwe sub 2.08!!! Tatizo hapa Kenya ni talanta za riadha wengi maradufu mno, inabidi tugawie mataifa ya dunia raha size dogo. Ndipo unapata mkenya na jina la kikenya kama Stephen Kiprotich akishindania dhahabu(2012). Huyo mjamaa amesema wazi hatoshiriki sababu program yake haitoruhusu.Tumekuwa tukijadili kwa kina muda wa wakimbiaji hodari wa marathon wanaotumia, lakini habari hii ya Dennis Kimetto ''kuchemsha'' na kujitoa wakati ni bingwa wa rekodi ya dunia ina maana wale wote wanaoweza kukimbia chini ya muda wa 2:14:00 wana nafasi ya kupata medali mradi tu watumie technic nzuri. Hivyo hata wakimbiaji wa-Tanzania ktk marathon Rio2016 wanaweza kuibuka na medali za Gold, Silver au Bronze.
Tumekuwa tukijadili kwa kina muda wa wakimbiaji hodari wa marathon wanaotumia, lakini habari hii ya Dennis Kimetto ''kuchemsha'' na kujitoa wakati ni bingwa wa rekodi ya dunia ina maana wale wote wanaoweza kukimbia chini ya muda wa 2:14:00 wana nafasi ya kupata medali mradi tu watumie technic nzuri. Hivyo hata wakimbiaji wa-Tanzania ktk marathon Rio2016 wanaweza kuibuka na medali za Gold, Silver au Bronze.
Wanazidi kutanua kama Furgurson Rotich.Hehehe naomba sana kwa muda nipo humu duniani nisiwahi kuwa na hizi roho zenu za chuki nyie wala albino. Yaaani mnaishi maisha magumu sana, roho nyeusi zinazoiva kwa majungu, wivu na chuki kila uchao. Hayo ni maisha ya hatari sana maana unaowaonea wivu na chuki wanazidi kutanua, wanazidi kukuacha nyuma, wanazidi kunawiri, wanazidi kubarikiwa ilhali wewe unazidi kuumia huku umekaa kitako kwa uvivu na uzembe, umebarikiwa na kila aina ya raslimali, lakini kwa jinsi ulivyo na roho nyeusi ya chuki, unaishi kuwa maskini wa kutupwa miaka yote.
Rio2016 Olympics qualifying time for the full marathon is 2 hours 19 minutes and 00 seconds. And they’re off… qualification for athletics events at Rio 2016 Olympic Games beginsYou won't win any medal if your only hope for a win is the champion not participating. Real athletes dream of competing with the best.
Rio2016 Olympics qualifying time for the full marathon is 2 hours 19 minutes and 00 seconds. And they’re off… qualification for athletics events at Rio 2016 Olympic Games begins
Alphonce Felix Simbu age: 24 yrs
Personal Best Time Marathon 2:09:19 Otsu 06 MAR 2016 IAAF: Alphonce Felix Simbu |
Profile 71st Lake Biwa Mainichi Marathon japan running news: Rotich Wins Wild Lake Biwa Mainichi Marathon, Kitajima Leads Four Japanese Men Sub-2:10 in Chase for Rio
1. Lucas Rotich (Kenya) - 2:09:11
2. Hisanori Kitajima (Japan/Yasukawa Denki) - 2:09:16 - PB
3. Alphonce Felix Simbu (Tanzania) - 2:09:19 - PB
Saidi Juma Makula age: 23 yrs
Marathon Personal Best Time 2:12:01 Daegu 03 APR 2016 IAAF: Saidi Juma Makula | Profile, Winner MIA 2015: Paraguayos triunfan en la Media Maratón Internacional de Asunción - 2015
Fabian Joseph
Fabiano Joseph NAASI
Country: Tanzania
Born: 24.12.1985
1 x World Half Marathon champion
2 x World Half Marathon Championships Silver medallist
1 x Commonwealth Games Bronze medallist
1 x World Junior Championships Silver medallist
1 x Commonwealth Games finalist
1 x World Junior Championships finalist
1 x African Championships finalist
3 x National champion
1 x World Half Marathon Championships finalist
1 x World Cross Country Championships finalist
"Our technical bench has decided that our runners should be there just a few days before the race", he told The Citizen here over the weekend as the team descended into the city from their training camp in high altitude west Kilimanjaro. www.thecitizen.co.tz
Kenya’s Chanchima to battle Tanzania’s Fabiano in Nagano Marathon
April 25, 2016
Fabian Joseph (Blue No.9) and Jairus Chanchima in action
Chanchima has a best of 2:07:43 from the 2012 Seoul Marathon but this is the only time he has cracked 2:10:00 and his last marathon was at the 2014 Seoul Marathon where he was only 12th with 2:14:53.
duh! dogo aliwatoa waethiopia kimasomaso, bendera ya nchi tukufu ya Kenya izidi kupepea na wimbo wa taifa usikike dunia kotedibaba ameshindwa! ongeza gold ya tatu hapo juu mbio mbio!
Faith Kipyegon wins 1500m Olympic gold for Kenya
View attachment 382964 View attachment 382965
haya ni mashindano ya mbio, sio lughaKenya mko juu wafundisheni basi hiyo kabila inayowawakilisha kukimbia kuongea kiingereza kama jaluo za kwenyu, au la watoke kwenyu wakuje TZ waongee sheng
Rio2016 Olympics qualifying time for the full marathon is 2 hours 19 minutes and 00 seconds. And they’re off… qualification for athletics events at Rio 2016 Olympic Games begins
Alphonce Felix Simbu age: 24 yrs
Personal Best Time Marathon 2:09:19 Otsu 06 MAR 2016 IAAF: Alphonce Felix Simbu |
Profile 71st Lake Biwa Mainichi Marathon japan running news: Rotich Wins Wild Lake Biwa Mainichi Marathon, Kitajima Leads Four Japanese Men Sub-2:10 in Chase for Rio
1. Lucas Rotich (Kenya) - 2:09:11
2. Hisanori Kitajima (Japan/Yasukawa Denki) - 2:09:16 - PB
3. Alphonce Felix Simbu (Tanzania) - 2:09:19 - PB
Saidi Juma Makula age: 23 yrs
Marathon Personal Best Time 2:12:01 Daegu 03 APR 2016 IAAF: Saidi Juma Makula | Profile, Winner MIA 2015: Paraguayos triunfan en la Media Maratón Internacional de Asunción - 2015
Fabian Joseph
Fabiano Joseph NAASI
Country: Tanzania
Born: 24.12.1985
1 x World Half Marathon champion
2 x World Half Marathon Championships Silver medallist
1 x Commonwealth Games Bronze medallist
1 x World Junior Championships Silver medallist
1 x Commonwealth Games finalist
1 x World Junior Championships finalist
1 x African Championships finalist
3 x National champion
1 x World Half Marathon Championships finalist
1 x World Cross Country Championships finalist
"Our technical bench has decided that our runners should be there just a few days before the race", he told The Citizen here over the weekend as the team descended into the city from their training camp in high altitude west Kilimanjaro. www.thecitizen.co.tz
Kenya’s Chanchima to battle Tanzania’s Fabiano in Nagano Marathon
April 25, 2016
Fabian Joseph (Blue No.9) and Jairus Chanchima in action
Chanchima has a best of 2:07:43 from the 2012 Seoul Marathon but this is the only time he has cracked 2:10:00 and his last marathon was at the 2014 Seoul Marathon where he was only 12th with 2:14:53.
This Dibaba chic has been pain in our marathoners' @$$. Time for her to be taught a lesson.That gal has got a mighty kick, she blitzed past the others in a way that is only reminiscent of Tirunesh Dibaba or Kenenisah Bekele
Its a different Dibaba dude, you are referring to the one that finished after Vivian Cheruiyot in 10000mThis Dibaba chic has been pain in our marathoners' @$$. Time for her to be taught a lesson.
dibaba ameshindwa! ongeza gold ya tatu hapo juu mbio mbio!
Faith Kipyegon wins 1500m Olympic gold for Kenya
View attachment 382964 View attachment 382965