Riots break out in Nyanza after court endorses Uhuru win

Kama kuna mtu alibugi stepu ni Kalonzo! Lakini pia nikiri kwamba Moi bado ni professa wa siasa za Kenya!

I really understood his move this time round. He is the vp so getting into another alliance that demotes him was hard to take.
 
Kama jk alisema kila mtoto wa shule ya msingi atakuwa anatumia computer by 2015....alisema hayo wakati anafungua tawi la crdb marangu mwaka juzi

Kwa hiyo wewe na akili zako zote ulimwamini JK aliposema hivyo pamoja na ile ahadi yake ya maisha bora kwa kila Mtanzania?
ke
Mimi sikumwamini hata kidogo na nilikuwa sahihi. Hayo maisha bora angeyatoa wapi? Kijijini kwake? Ona wabongo mnavyoishi - ikinyesha mvua balaa....isiponyesha balaa. Maji ya shida. Watu mnafikisha wiki hamjaoga. Umeme ndo hivyo tena. Rhumba kali mwanzo mwisho.

Mimi hiyo ahadi ya Uhuru naona ni upuuzi tu. Kwanza sijawahi kuziona wala kuzisikia hizo laputopu za sola. Sijui hata zinauzwa wapi. Zinauzwa Kiambuu?
 
Wajalue waombe nchi yao, kwani mkikuyu kishasema, nchi haitajakaa itawaliwe na mjaluo

na watu wa kazikazini waombe nchi yao maana rizone alishasema nchi hîi haitatawaliwa na mtukutoka kazikazini mwa tanzania..
 
kwa tarifa yako hiyo inawezekana. Mbona Rwanda kila Mwanafunzi wa shule ya msingi ana Laptop?

Ngoja uone kila mwanafunzi wa darasa la kwanza atapewa.

Hebu soma hapa:-
Jubilee: We are ready to
offer pupils laptops, says
Samsung http://t.co/AxyIOKDDp9
 
...Wajaluo kama wanampenda sana basi wamuombe Gavana wa Siaya ajiuzulu na wamchague Raila kuwa Gavana wao, kwani kwa uRais wakenya wameshaongea, Uhuru Tosha..
 
...huyu Mzee mroho sana wa madaraka, naona anautafuta tena " nusu mkate" mezani, shame...
 
Kama jk alisema kila mtoto wa shule ya msingi atakuwa anatumia computer by 2015....alisema hayo wakati anafungua tawi la crdb marangu mwaka juzi

Kuna vitu vikisemwa visikilize vizuri. Ukitengeneza maana isiyokusudiwa, wewe unayeamini ndio unakuwa na matatizo...
 
Mathare youths destroy properties as they loot in business premises on March 31, 2013 after protesting the ruling by Supreme Court that upheld the election of Uhuru Kenyatta as president. Photo/DENISH OCHIENG'

A man attempts to break into a business premise during a protest in Mathare North on March 31, 2013. Photo/DENISH OCHIENG

Mathare youths destroy properties as they loot in business premises on March 31, 2013 after protesting the ruling by Supreme Court that upheld the election of Uhuru Kenyatta as president. Photo/DENISH OCHIENG
 
Commercial premises that were destroyed by fire during a protest by rowdy youths in Mathare North on March 31, 2013. Photo/DENISE OCHIENG

A man protests in Mathare North as police watch. Several properties were destroyed during the riot. Photo/DENISE OCHIENG

Mathare North residents gather destroyed properties after a riot on March 31, 2013. Photo/DENISE OCHIENG

The General Service Unit (GSU) officers patrol Mathare North area after protests in which properties of unknown value were destroyed on March 31, 2013. Photo/DENISE OCHIENG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…