King Kiba wa uzunguni. [emoji38]Ndo nani huyu?
Indeed man, indeed.....Ngoma yake ya kwanza kuisikiliza ilikuwa Wake Me Up kwenye BBC UK TOP 40 mwaka 2013. Nikatafuta Album yake yote na hakuna wimbo ambao sikuupenda kabisa.......Huyu jamaa alkua God sent. He lived
His music will still live on. May he R.I.P.Huyu jamaa alkua God sent. He lived
Damn!!!lakin aliach mxiki kwa sababu ya kuumwa mda mrefu [emoji25] [emoji25] hey brother!...The world and EDM family has lost a legend. So young So sad. May his soul rest in eternal peace.
View attachment 751384
Hapo kwenye bold - good research areaRIP Legengs AVICII,
The Real star of Electronic Songs,
Ngoma zake kali kama Hey Boy, Waiting for Love and Levels.
Aina hii ya Music ina Mizuka sana, Manya Producers ama Composer wa hizi ni nyimbo sababu za vifo kuwa Shinikizo la Damu na pia Msongo wa Mawazo inaweza kuwa sababu.
Nyimbo zake zina High Temporate ni Above Normal.