RIP Avicii

Indeed man, indeed.....Ngoma yake ya kwanza kuisikiliza ilikuwa Wake Me Up kwenye BBC UK TOP 40 mwaka 2013. Nikatafuta Album yake yote na hakuna wimbo ambao sikuupenda kabisa.......
Ndo aliimba ule wimbo yupo anasukuma jiwe kubwa
Unaimba "Ooooooooooh sometimes"..?
 
Indeed man, indeed.....Ngoma yake ya kwanza kuisikiliza ilikuwa Wake Me Up kwenye BBC UK TOP 40 mwaka 2013. Nikatafuta Album yake yote na hakuna wimbo ambao sikuupenda kabisa.......
Dah kwanza huo wa 'Wake me up' ukirindima kwenye disco mnapata mzuka kila mtu anaruka balaa. Au hata kwenye gym.

Rest in peace jamaa.
 
Indeed man, indeed.....Ngoma yake ya kwanza kuisikiliza ilikuwa Wake Me Up kwenye BBC UK TOP 40 mwaka 2013. Nikatafuta Album yake yote na hakuna wimbo ambao sikuupenda kabisa.......
Wewe ni mbongo mwerevu wengine hata hawamjui...wake me up ilifika 1 billion views
 
Leo siku yangu haitakuwa poa kabisa, sijui kwa nini Mungu anawachukua watu kama hawa mapema, halafu anatuachia hawa wanasiasa wanatuongezea stress na Ugumu wa maisha,
Kwenye simu yangu nimejaza edm kazi za mikono ya avicij, Nina Waiting for love, Levels, Wake me up, Hey brother, A friend of Mine,
Jamaa amenifanya nifeel so good for years,
RIP My best producer of all time,
 
The nights...moja ya nyimbo zangu pendwa

He said one day you will leave the world behind, so live the life you will remember...my father told when i was just a child..

R.I.P Avicii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…