Rip bro Sam

Rip bro Sam

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
13,067
Reaction score
10,393
Dah....Bro Sam
Miaka zaidi ya 6200 tokea shem Delly alivyokusaliti. Bro hivi ilikuwaje hadi ukatoa PIN?
Hata hivyo kifo chako kimetupa funzo kubwa sana mabaharia...Tuko makini sana na mashem zako.
Rip Bro...
sanson_y_dalila_l.jpg_691115875.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]coment za wadau ni hatari sana
 
Mwamba alichoma kambi kisa kitumbua[emoji848][emoji848]
Angalau brother Sam alikuwa mtata kidogo, maana shemeji yetu alijishughulisha Sana mixer kwa mpalange ndo mwamba akatoa Siri haikuwa rahisi...

Tofauti na Yule lofa uncle Yuda ambae anapelekeshwa na mkewe...katoa ramani ya Vita kwa wapinzani kisa hela ya vijora vya mkewe siku ya sabato!
 
Yuda michosho sana aisee.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ilikuwa lazima yatokee haya Ili wanaisreal waokolewe kutoka kwa wafilisti
 
Back
Top Bottom