Safi kabisa,BarikiwaAisee huku imeanza kunyesha .. Nimepunzika kunyweshea
Nimesikitika sana, jamaa alikuwa na sauti nzuri sana. Alifanya nyimbo nyingi sana enzi zake, Dem Call us Pirates (Pirates anthem) yeye na Shabba Ranks ilikuwa moto mbaya.Msanii wa Reggae Cocoa Tea, aliyezaliwa Colvin George Scott, amefariki dunia. Alipata umaarufu miaka ya 1980 kwa nyimbo maarufu kama "Lost My Sonia" na "Rikers Island." Cocoa Tea maarufu kwa nyimbo zake zinazojali jamii na uigizaji wa kuvutia alishirikiana na wasanii mashuhuri kama vile Shabba Ranks, Supercat na Buju Banton. Kazi yake, iliyochukua zaidi ya miongo minne, imeacha alama muhimu kwenye muziki wa reggae na dancehall.
Rest in peace Cocoa TeaView attachment 3266853
Ntamkumbuka always nkiskiliza ngoma yake ya 18 and over. Bonge la kitu
Nimesikitika sana, jamaa alikuwa na sauti nzuri sana. Alifanya nyimbo nyingi sana enzi zake, Dem Call us Pirates (Pirates anthem) yeye na Shabba Ranks ilikuwa moto mbaya.
Obama nayo ilimaliza vyema ufalme wa Cocoa Tea