Aman iwe nanyi wapenda
Dj arafati kasepa zake kwa sir god
Tangulia dj tutaonana kwa sir god
Mchizi kapata ajali jana usiku kwenye boda boda baada ya kugongana na gal uso kwa macho
Inasemekana alikuwa tungi kishenzi
RIP ninja
LONDON BOY
last bone wa mwenyezi Mungu