RIP GOLDIE.....Naija singer is no more

wehoodie

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
1,031
Reaction score
1,013
#RipGoldie is all over twitter......yasemekana Prezoo love interest kwenye BBA iliyokwisha ambaye pia ni mwanamusiki maarufu NIgeria amefariki dunia......Breaking News: Singer Goldie Harvey is dead



 
Jamaaan its true!! Nimesoma blog ya Linda jamani..Linda Ikeji..
Dah nilimpenda yule dada jaman..myfrnds call me her name jus bcoz i was so about her!!addicted af sijuw hata y,katika all pamoja smtimes she was boring ila nlimpenda tu.
Khaa kifo hiki?
So soon..too young!
She jus got back from the grammyz in US!
Uwii Prezzo jamn..Valentine wako!! Oh no! Goldie!!
So kind n full of life jamani!
Kaniuma kama ndugu yangu.
RIP kipenzi..no more tweets no more fb!no bbm..oh nooo!!
And ur wedding was on the way..
Mi nahisi ndoto.
 
The buzz in the media looks too small to be significant. Nahisi ni hoax, tungoje kidogo kabla ya kumrestisha.
 
Ni taarifa ambayo kila aliekua karibu na Goldie kwenye page zake za facebook na twitter inakua ngumu kuamini, taarifa rasmi zimeripoti kwamba Goldie ambae ni mwakilishi wa Nigeria kwenye BBA 2012 AMEFARIKI muda mfupi tu baada ya kuwasili Lagos Nigeria akitokea Marekani ambapo bado chanzo cha kifo chake hakijajulikana.

Mmoja wa wasaidizi wake amethibitisha kifo cha Goldie kupitia page ya twitter ya Goldi kwa kusema ni kweli msanii huyo amefariki dunia usiku wa february 14 2013 muda mfupi tu baada ya kuwasili Lagos Nigeria, hali yake ya afya ilibadilika ghafla ikabidi apelekwe hospitali ambako hakuchukua muda mrefu akafariki dunia.

Taarifa nyingine nilizozipata kutoka kwa mtu wake wa karibu wanaeshirikiana kimuziki zimeeleza kwamba mpenzi wake Goldie ambae ni Msanii wa Kenya CMB Prezzo ametua Nigeria usiku huu muda mfupi uliopita kwa ajili ya kuendeleza mipango aliyokua nayo na Goldie ikiwemo kutengeneza show ya TV.

Prezzo alitakiwa kushiriki katika TV show ambayo yeye na Goldie wangekua moja ya wahusika wakuu ambapo mpango ulikua baada ya mwezi mmoja Goldie na Prezzo wangekuja Tanzania, Uganda na Kenya kwa ajili ya kujitangaza na kuipromote single mpya ya Goldie ya ‘Skibobo’ aliyofanya na Ay.

http://www.talkofnaija.com/news/140844_breaking-news-singer-goldie-harvey-is-dead
 
yah hata mimi hii habari nimeiona kwenye tovuti nyingi za wasanii afrika, she is no more may God put her where she deserves the world is not our home we are just passing
 
am speechlessss!! so shocked! rip goldie, u will be missed!
 
sinilisikia soon jamaa wataona ... yeah kazi ya mola Haina makosa...
 
R.I.P Goldie,pigo kubwa sana kwa Prezzo
 
The buzz in the media looks too small to be significant. Nahisi ni hoax, tungoje kidogo kabla ya kumrestisha.

mi mwenyewe imekuwa ngumu sana kuamini.......nangoja kwanza.......
 
The family and music management of Goldie Harvey, the former Big Brother Africa housemate who was so close to Prezzo and at the same time a super Nigerian Singer have confirmed her death. Goldie died immediately on arrival in Nigeria from LA where she had gone to attend Grammy Awards. She died from Reddington Hospital in Nigeria.



Detailed Story found Here : Goldie Dead
 
daaa RIP dear Goldie... namkumbuka sana alivyokuwa tuu emotional ktk BBA.

gone too soon jamaniiii, ndo kwanza nyota ilikuwa inaanza kung'ara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…