RIP Kalembe Ndile

RIP Kalembe Ndile

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Huyu former MP alikuwa maarufu wakati wa muhula wa Rais Kibaki. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

 
What!! Nini kimemsibu mzee wa Tip Tip.....
 
What!! Nini kimemsibu mzee wa Tip Tip.....
Pancreatic cancer. Huu ugonjwa wa cancer unasumbua siku hizi. Inaonekana wengi wetu pia tutaangamizwa na ugonjwa huu matata.
 
Corona hiyo......

Kwetu kama ni corona huwa inasemwa, hatuna hayo ya kuficha ficha oh mara anachapa kazi ni mzima hana haja ya kwenda sijui Magomeni au Kariokoo, ooh mara alikua na matatizo ya moyo...corona sio gonjwa la aibu.
 
Back
Top Bottom