mr smoke Member Joined Feb 25, 2015 Posts 16 Reaction score 12 Mar 5, 2015 #1 kwa wale waliopitia elimu ya ufundi hasa katika taasisi ya technolojia ya dar es salaam(DIT) mtakua mnamkumbuka mwalimu huyu wa electronics mr Mtangoo ambaye kwa sasa hatunaye tena duniani. RIP mr Mtangoo tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi
kwa wale waliopitia elimu ya ufundi hasa katika taasisi ya technolojia ya dar es salaam(DIT) mtakua mnamkumbuka mwalimu huyu wa electronics mr Mtangoo ambaye kwa sasa hatunaye tena duniani. RIP mr Mtangoo tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,590 Reaction score 6,355 Mar 5, 2015 #2 mungu amlaze mahala pema