RIP MUGABE. Wakenya mtamkumbuka Mugabe vipi?

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Watu wake wanatiwa viberiti Afrika Kusini, maana aliwaachia umaskini kwa ajili alikua hashauriki.
RIP
Ni Afadhali alijaribu kurejesha mashamba yalikua yakimilikiwa na mabeberu mikononi mwa wa Zimbabwe mabeberu yakaharibu uchumi wa Zimbabwe

kuliko ninyi kuachia mabeberu kushika mashamba huku wakiwaaachia jangwa tupu barrenness land inayowaua na njaa
 
Mashamba tunayamiliki na pia tumeruhusu mabeberu wayanunue na kumiliki, nyie mlimnyang'anya mmoja mkaishia hasara ya ndege kukamatwa na kusitisha ruti yote, hasara yote hii kwa ujinga wa kumdhulumu mkulima mmoja.
Mugabe pia kawa mjinga kama nyie na kuwadhulumu wakulima, nchi ikarudi nyuma, leo hii hao Wazibambwe wanatiwa viberiti kisa umaskini.
Ujeuri ukiwa maskini ni ujinga, hebu waza Tanzania na raslimali zote hizo lakini maskini wa kutupwa, raia wake wamejaa huku wanaomba omba.
 
Unamiliki mashamba ya bangi au mashamba gani??

Alieshikilia ndege si zuzu kama zuzu wa kikenya tuu hukumu imetolewa mahakama ya Tanzania alaff anataka utekelezaji ukafanyiwe SA , ata hao walioshika ndege walikua hawajielewi, ndo maana tulienda kuichukua na tunarudi nayo bila kumlipa huyo boya ata senti tano, ata kama na wewe unaidai TZ nenda airport zuia ndege tutakuja kuichukua kibabe, bora cha kwako cha kununua mwenyewe na wala sio cha kukodishiw
 
Wakulima wenu wa korosho kwenu wangekua na uwezo huo wa kushikilia ndege, hamngebaki hata na moja, maana mumegoma kuwalipa, mnawadhulumu peupee, na hao ni wa korosho, utakuta na kwengine ndio hivyo. Sasa huyo wa Afrika Kusini kidogo kaonyesha ubabe, na utakuta sio yeye tu, kuna wengine wanasubiri hayo mandege ndio maana mkaikimbia Afrika Kusini.
 
Back
Top Bottom