Ni Afadhali alijaribu kurejesha mashamba yalikua yakimilikiwa na mabeberu mikononi mwa wa Zimbabwe mabeberu yakaharibu uchumi wa ZimbabweWatu wake wanatiwa viberiti Afrika Kusini, maana aliwaachia umaskini kwa ajili alikua hashauriki.
RIP
Ni Afadhali alijaribu kurejesha mashamba yalikua yakimilikiwa na mabeberu mikononi mwa wa Zimbabwe mabeberu yakaharibu uchumi wa Zimbabwe
Zimbabwe’s white farmers will get compensation—but they’re not getting land back
More than 4,000 white commercial farms were displaced and their land designated for resettlement of black farmersqz.com
kuliko ninyi kuachia mabeberu kushika mashamba huku wakiwaaachia jangwa tupu barrenness land inayowaua na njaa
Unamiliki mashamba ya bangi au mashamba gani??Mashamba tunayamiliki na pia tumeruhusu mabeberu wayanunue na kumiliki, nyie mlimnyang'anya mmoja mkaishia hasara ya ndege kukamatwa na kusitisha ruti yote, hasara yote hii kwa ujinga wa kumdhulumu mkulima mmoja.
Mugabe pia kawa mjinga kama nyie na kuwadhulumu wakulima, nchi ikarudi nyuma, leo hii hao Wazibambwe wanatiwa viberiti kisa umaskini.
Ujeuri ukiwa maskini ni ujinga, hebu waza Tanzania na raslimali zote hizo lakini maskini wa kutupwa, raia wake wamejaa huku wanaomba omba.
Unamiliki mashamba ya bangi au mashamba gani??
Alieshikilia ndege si zuzu kama zuzu wa kikenya tuu hukumu imetolewa mahakama ya Tanzania alaff anataka utekelezaji ukafanyiwe SA , ata hao walioshika ndege walikua hawajielewi, ndo maana tulienda kuichukua na tunarudi nayo bila kumlipa huyo boya ata senti tano, ata kama na wewe unaidai TZ nenda airport zuia ndege tutakuja kuichukua kibabe, bora cha kwako cha kununua mwenyewe na wala sio cha kukodishiw