holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Nipo hapa moja kati ya vijiji vilivyopo wilaya ya Uyui mkoani Tabora kusindikiza safari ya milele ya babu yangu mkubwa Mwinamila Membe. Mzee amefariki kutokana na umri mkubwa. Alikuwa ni moja kati ya wazee maarufu kijijini kutokana na utajiri wake wa mifugo.
Tunasubiri gari tusafirishe mwili kwenda Choma kwa mazishi. P.K.A Mzee.
Tunasubiri gari tusafirishe mwili kwenda Choma kwa mazishi. P.K.A Mzee.