Nipo hapa moja kati ya vijiji vilivyopo wilaya ya uyui mkoani tabora kusindikiza safari ya milele ya babu yangu mkubwa mwinamila membe. Mzee amefariki kutokana na umri mkubwa. Alikuwa ni moja kati ya wazee maalufu kijijini kutokana na utajili wake wa mifugo,tunasubiri gari tusafirishe mwili kwenda choma kwa mazishi. P.K.A Mzee.