Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
UNATAKA SAABABU UKAFANYIE RESEARCH??RIP Prof.
Ila ni vizuri taarifa ya kifo ikaambatana na sababu ya kifo.
Pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki wa Professor.
Kau....bsPoleni wa wafiwa, haya matatizo ya kupumua yatokanayo na pneumonia ni hatari sana sasa hivi.
Magonjwa ya uzeeni tu,Kanywanyi alikuwa na 80 years plusRIP Prof.
Ila ni vizuri taarifa ya kifo ikaambatana na sababu ya kifo.
Pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki wa Professor.
Ni Siri ya mfiwa na familiaTaarifa ya Msiba.
Profesa wa Sheria UDSM, Josephat Kanywanyi kafariki Jumapili asubuhi tarehe 10.01.2021 Ibada ya kuaga mwili itafanyika Nkrumah Hall siku ya Jumanne saa tano asubuhi. Na Mazishi ni saa kumi jioni makaburi ya Kinondoni.
Msiba upo Nyumbani kwake Survey.
RIP Prof. Bwana alitoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe Amen.
CHANGAMOTO YA KUVUTA NA KUTOARIP Prof.
Ila ni vizuri taarifa ya kifo ikaambatana na sababu ya kifo.
Pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki wa Professor.