TANZIA RIP Profesa Josephat Kanywanyi

Poleni wa wafiwa, haya matatizo ya kupumua yatokanayo na pneumonia ni hatari sana sasa hivi.

Tatizo maombi yalihusu corona peke yake. Pana haja ya kupanua wigo kuangalia mapema mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…