RIP Rahma Swai - Miss Mtwara 2011/12

Rest In Peace Mrembo Rahma. MUNGU alimpenda zaidi ktk makao yake.
 
RIP mrembo!

Tupeni taarifa na picha zenye uhakika mnaomfahamu na mna picha zake wakuu ili tusije kuwa tunatoa rip kwa mtu aliye hai.
 
Miss mtwara wa mwaka huu amefariki dunia hivi karibuni kutokana na shinikizo la damu
na pressure..aijulikani kisa zaidi ila ndugu wakaribu wanasema mwili unawasili leo
kwa ajili ya maziko pale changanyikeni.....
Hope mh wetu sana mzee wa ma miss atatoa ushirikiano wa kila hali kwenye maziko hayo
lundenga ni wakati muafaka huu kuonyesha ushirika wenu sio tu wakiwa wamevaa viwalo vya kuogea ndio mnawapenda
 
Hivi Pressure, na shindikizo la damu ni magonjwa tofauti?

Pole sana wafiwa kwa msiba..
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi~AMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…