silver25 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 743 Reaction score 44 Nov 30, 2010 #1 Ndugu wanajamii Report ya Gharama za uchaguz zimesha kamilika na Lengo la kuifungulia Kesi CCM kuhusu Gharama za uchaguzi mbona naona kama limeyeyuka? au Chadema walituyeyusha jamani,, Mi naomba tuwakumbushe Chadema walichotuahidi bwana
Ndugu wanajamii Report ya Gharama za uchaguz zimesha kamilika na Lengo la kuifungulia Kesi CCM kuhusu Gharama za uchaguzi mbona naona kama limeyeyuka? au Chadema walituyeyusha jamani,, Mi naomba tuwakumbushe Chadema walichotuahidi bwana