Na wewe unaoa lini bro?Hongera ake
Hivi nahuyu naye anavaa hii mipete ya kishirikina?Orodha ya wasanii wanaotoka katika kundi la ukapera inazidi kupungua kila kukicha – Alikiba anadaiwa kutaka kufuata nyayo hizo.
Msanii huyo ametajwa kutaka kufunga ndoa na mrembo huyo aliyefahamika kwa jina la Amina kutoka mjini Mombasa nchini Kenya, Ijumaa ya wiki hii.
Kwa mujibu wa chazo chetu kimesema kuwa, taarifa hizo ziliaza kusambaa baada ya Abdu Kiba kutumbua jibu wiki iliyopita wakati akifanya mahojiano na gazeti moja la huko Kenya.
Hata hivyo inafahamika kuwa Alikiba amekuwa akienda mara kwa mara Mombasa kutokana na kuwa na ukaribu na Gavana wa mji huko, Joho.
Bongo 5
View attachment 701992
Labda urembo tu!Hivi nahuyu naye anavaa hii mipete ya kishirikina?
Dai ugandaAY kachukua Rwanda Ally naye anataka kuchukua Kenya heheheeee
Mkuu inamaana wadada Wa hapa nchini hawana soko niniDai uganda
Mkuu inamaana wadada Wa hapa nchini hawana soko nini
Bora umeniibia siri mkuu nami nitakimbilia Malawiwadada wa hapa bongo hawakai kwenye ndoa
2035 mkuu......Na wewe unaoa lini bro?
Bora umeniibia siri mkuu nami nitakimbilia Malawi
Malawi wanawake wote wabaya.
yule si inasemekana wali nazi yuleSafi ni jambo jema,yule mwenzake dimpozi hivi teyari?
kule unakuwa umeoa familia mzima utawalisha somesha na kuwajengea.Nenda Ethiopia ila nasikia wanapenda hela kushinda wachaga
Hahahaha, umeniwahi kuulizammoja kaoa RWANDA mwingine KENYA na DIAMOND kazaa na MGANDA.malya wa bongo movi bado hamjashtuka
hahahaha nani atakuwa analiwa ? kiba100 ao joho lady?Napataga mashaka sana na ukaribu wake na Yule msomali "joho"