Ripoti: Asilimia kubwa ya waathirika wa Corona Kenya hawakuwa na dalili zozote

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wengi walipimwa kisa walihusiana na waathirika wa mwanzo, ila la kushangaza waligunduliwa wana kirusi bila ya wao kuwa na dalili zozote hata kukohoa wala nini, na hii imebainiika hata kule Uchina, asilimia kubwa ya Waafrika wanaokutwa na kirusi hawaonekani kuwa na dalili zozote, hawaumwi sehemu yoyote, wanatamba mtaani bila issue.

Hii ni hatari maana inachangia watu kutokuchukua tahadhari hata wakiumwa, wanajiona wazima ila wanaambukiza wenzao, hivyo kwa wale wanakaa kusubiri hadi mtu ajilete kwenye kituo cha afya ndio apimwe, itawachelewesha sana.

=====

A majority of Covid-19 patients had no symptoms when they tested positive, a situation report by the Ministry of Health shows.

The report dated April 16 shows that 59 per cent of the 225 cases announced by Wednesday were asymptomatic.

"Of the 225 confirmed cases, 92 cases (41 per cent) presented with symptoms. Fever (55 per cent) and Cough (48 per cent) were predominant presenting symptoms," the report notes.

Other key symptoms have included difficulty in breathing (21 per cent), sore throat (17 per cent) and headache (13 per cent).

The report shows that most of the cases with no symptoms were recorded from March 31.

For instance, the data shows that of 28 patients that tested positive on March 31, 21 had no symptoms.

The trend has been similar since then with asymptomatic patients making the larger portion of the positive cases.

Between April 10 and April 14, of the 32 patients who tested positive, 31 had no symptoms related to the Covid-19.

The report shows that out of the 225 positive cases by April 15, 140 (62 per cent) were imported cases and 85 cases (38 per cent) were local transmissions.

As of Wednesday, eleven counties had reported cases: Nairobi (163), Mombasa (36), Kilifi (9), Nakuru (2), Kitui (2), Kajiado (2), Kwale (1), Kakamega (1), Mandera (6), Uasin Gishu (1) and Siaya (2).

In Nairobi, 44 of the cases were local transmissions, Mombasa (24), Kilifi (7), Mandera (6), Siaya (2), Kitui (1) and Nakuru (1).

The report notes the challenges that the government is going through in managing the ongoing crisis.

It notes that there is suboptimal coordination between National Task Force and County Governments.

It also lists the inadequate number of trained and skilled health care workers on case management, IPC and response in the event of a large-scale outbreak.

Another challenge is listed as the lack of adequate essential supplies (personal protective equipment) and life-saving basic equipment in the event of a large-scale outbreak.

On surveillance and laboratory, the report lists suboptimal contact tracing observed at the county level.

It also lists the inadequate number of trained and skilled health care workers available for contact tracing and rapid response in the event of a large-scale outbreak.

Most Covid-19 patients in Kenya had no symptoms - Ministry report
 
siti ya mbele hapa🍺🍺🍺🍺
 
Hili dude limeanza kuninyima amani officially
Yaaani tukifanya mistake kama inavyofanya gove ya magu we are finish a za kukata Tamara mipango yangu Mingi inatosha maana
 
Ukishaona baba mwenye nyumba anasema hapa inabid tusali tu /tumuombe Mungu tu hapo maana yake the matter is out of control hapo divine intervention ndio solution pekee kwa sisi watafiti tunajua kabisa hapa kaz ipo

Yuko sahihi kuwaomba watu waingie kwenye maombi, sema pia tahadhari na juhudi ziendelee.
 
Lakini mkuu hili gonjwa lina athari finyu kwa watu weusi, si ndio. Kenya waliopona ni wengi zaidi ya vifo. Na hii report inasema sisi wengi ni asymptomatic ila tunakutwa na corona, bongo hapa ishapita mafua moja makali sana kama ushaisoma ile barua ya wizara afya, nitakuonyesha ukitaka, nitatafuta iyo report ya uchina niisome.
But na imani tutaushinda huu ugonjwa before white men, thanx to our stronger immune.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sote tunaomba iwe hivo Ila tahadhari kwa wakati huu ni muhimu.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Lakini mkuu hili gonjwa lina athari finyu kwa watu weusi, si ndio. Kenya waliopona ni wengi zaidi ya vifo. Na hii report inasema sisi wengi ni asymptomatic ila tunakutwa na corona, bongo hapa ishapita mafua moja makali sana kama ushaisoma ile barua ya wizara afya, nitakuonyesha ukitaka, nitatafuta iyo report ya uchina niisome.
But na imani tutaushinda huu ugonjwa before white men, thanx to our stronger immune.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio mojawapo ya sababu kwanini Wachina wameanza kuwa wakali kwa Waafrika, inasemekana kule China Waafrika wengi hawachukui tahadhari maana kirusi hata kikiwagonga wanakohoa siku mbili kinawatoka chenyewe ila wanaishia kuambukiza Wachina ambao hakiwaachi salama.

Kuna Waafrika wengi wamepimwa kwa lazima (kuna hata Wakenya wamesama hili huko), yaani Mwafrika anapimwa kwa kulazimishwa hata kama haumwi anapatikana na kirusi na yupo freshi wala haonyeshi dalili zozote, anaishi karantini hadi siku anapimwa na kukutwa kishamtoka alionyesha dalili mild sana muda wote.

Japo inasemekana Wachina wanatubagua kwa kulazimisha hizi tests, ila ukilangalia kwa jicho la tatu, utawaelewa. Njemba zinatamba mitaani bila mask wala tahadhari na haziumwi, ila Wachina wenyewe full kukohoa, homa, vilio, kukosa pumzi na hata vifo.
 
Wakeup kijana,

Wa-China wanalazimisha kuwapima wa-Afrika huko kwao kwa lengo moja kubwa:

Wanataka kupata sample size ya kutosha ya damu/DNA information za watu wenye asili ya Afrika. Na huu ndio wakati mwafaka kwao kufanya hivyo ((Mass gene harvesting)..

Kumbuka wa-Afrika waliothirika zaidi ni wale wenye asili ya kiarabu/Saharan, lakini bwana zako wa-China wanalaximisha kupima wa-Afrika weusi/Sub Saharan.

Ndio maana wanalaximisha kupima hata watu wazima na pia wale ambao walishamsliza a mandatory 14 days quarantine na kupimwa awali, wanaweka ndani tena kwa mara ya pili Then madaktari wanarudi kuchukua sample zao kwa mara nyingine.

Ukitumia ubongo wako vizuri utaelewa nini kinaendelea huko

Ipo siku mtakuja kulia.... Reparation, Reparation, Reparation...
Ndio mojawapo ya sababu kwanini Wachina wameanza kuwa wakali kwa Waafrika, inasemekana kule China Waafrika wengi hawachukui tahadhari maana kirusi hata kikiwagonga wanakohoa siku mbili kinawatoka chenyewe ila wanaishia kuambukiza Wachina ambao hakiwaachi salama.
Kuna Waafrika wengi wamepimwa kwa lazima (kuna hata Wakenya wamesama hili huko), yaani Mwafrika anapimwa kwa kulazimishwa hata kama haumwi anapatikana na kirusi na yupo freshi wala haonyeshi dalili zozote, anaishi karantini hadi siku anapimwa na kukutwa kishamtoka alionyesha dalili mild sana muda wote.
Japo inasemekana Wachina wanatubagua kwa kulazimisha hizi tests, ila ukilangalia kwa jicho la tatu, utawaelewa. Njemba zinatamba mitaani bila mask wala tahadhari na haziumwi, ila Wachina wenyewe full kukohoa, homa, vilio, kukosa pumzi na hata vifo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishaona baba mwenye nyumba anasema hapa inabid tusali tu /tumuombe Mungu tu hapo maana yake the matter is out of control hapo divine intervention ndio solution pekee kwa sisi watafiti tunajua kabisa hapa kaz ipo
Wakati unapomuomba Mungu usisahau na tahadhari,kwani hata tunapomuumba Mungu katika mambo mengine huwa hatumuombi Mungu na kisha kukaa chini
 
Ndio mojawapo ya sababu kwanini Wachina wameanza kuwa wakali kwa Waafrika, inasemekana kule China Waafrika wengi hawachukui tahadhari maana kirusi hata kikiwagonga wanakohoa siku mbili kinawatoka chenyewe ila wanaishia kuambukiza Wachina ambao hakiwaachi salama.
Kuna Waafrika wengi wamepimwa kwa lazima (kuna hata Wakenya wamesama hili huko), yaani Mwafrika anapimwa kwa kulazimishwa hata kama haumwi anapatikana na kirusi na yupo freshi wala haonyeshi dalili zozote, anaishi karantini hadi siku anapimwa na kukutwa kishamtoka alionyesha dalili mild sana muda wote.
Japo inasemekana Wachina wanatubagua kwa kulazimisha hizi tests, ila ukilangalia kwa jicho la tatu, utawaelewa. Njemba zinatamba mitaani bila mask wala tahadhari na haziumwi, ila Wachina wenyewe full kukohoa, homa, vilio, kukosa pumzi na hata vifo.
Mkuu,nakubalina na ww kwa kiasi Fulani,mfano,mabalozi wa Afrika walipofanya mkutano na serikali ya China wakasema,Africans don't exhibit symptoms early,mpaka wapimwe,BUT,kwanini Wafrika wanaongoza kufa U.S.A kuliko wazungu?huoni tuna weak immune kuliko wao?
 
Yeah mabalozi wetu baada ya hicho kikao wakawa wapole, walifanyiwa presentation ya hali ilivyo kwa ndugu zetu huko, wakiona hawaumwi wanakosa kuchukua tahadhari, kumbe kirusi kiko ndani yao ila hakiwaathiri na kinachukua hata siku 30 kabla kuonekana, wakati inafahamika kawaida hupaswa siku 14 kama incubation period.
Hii ilichangia serikali ya China kuanza kulazimisha tests kwa Waafrika, na wengi walikua wanapatikana nacho ila jamaa yuko full wala hata kukohoa hamna.

Weusi wa kule Marekani huwa sio wenzetu katika kila hali, wale huwa hatuendani kwa chochote wenyewe full mdebwedo wamezoea maisha ya pizza na burgers za huko, akiumwa mafua moja kwa moja anakwenda kutibiwa, sisi huku tunafahamu jinsi ilivyo, yaani Mwafrika mpaka aende kwa daktari utamtafuta sana, miili yetu imezoea kujipigania.

Juzi nimeumwa mafua, tena makali full balaa, ila niliyanywea maji moto ya limau siku tatu yakanitoka yenyewe.
 
Back
Top Bottom