OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Moja kati ya kitu cha kuangalia ili kujua kama tuna uchumi wa viwanda ni kuangalia kiwango ambacho tunazalisha ndani ya nchi, ambacho kwa kupitia viwanda tunaweza kuwa na uuzaji mkubwa wa vitu hivyo nje ya nchi na kufanya uchumi kukua kwa kasi.
Awamu hii ilikuja na kauli ya Tanzania ya viwanda ambayo mchumi yoyote anakubali kuwa ni moja kati ya njia ya kukuza uchumi wa nchi. Lakini ni muhimu basi kuona kama tunakaribia lengo ili kujua kama kuna vitu vya kubadilisha au kuongeza juhudi ili kwenda sawa na maneno yetu.
Katika hili nitaangalia uuzaji wa bidhaa zatu za viwandani nje ya nchi na sitatoa sababu ya kwa nini kuna variations katika hilo. Ili kuweka mambo sawa, tutaangala Exports za mwaka 2020 Vs Exports za mwaka 2016 ili kuona kama bado tupo kwenye the right track.
Kwa kuangalia ripoti ya uchumi iliyotolewa na benki kuu mwezi Februari 2020 inaonyesha kuwa bidhaa za viwandani za takribani USD 974.9 Millions, lakini tukumbuke pia, idadi ya traditional goods inaweza pia kutuambia kama kweli tunaviwanda nchini, kwa kuwa ni wazi kuwa, tukiwa na viwanda basi traditional groods zitakazo kuwa exported zitakuwa chini, kwa ripoti iliyopo mwezi januari, jumla ya traditional goods za thamani ya USD 2.27 Billion zilikuwa exported..
CHECK THE CHART AS PER BoT REPORT
Haya tuangalie ripoti iliyotolewa ikionyesha exports za 2016, ripoti ya 2016 ilikuwa na tofauti kidogo kwenye namna ya uwasilishaji wake kwa kuwa traditional exports zilipewa chart yake ambayo tutaiangalia pia.
Bidhaa za viwandani za thamani ya USD 1320.9 Millions zilikuwa exported kwa mwaka 2016. Hence hapo tunaona kuna tofauti kubwa ya uuuzaji wa bidhaa za viwandani ukilinganisha na mwaka huu ambao tumekuwa na kauli ya tanzania ya viwanda.
Kutokana na hii ripoti ya kawaida, basi ni muhimu kujiuliza kama tunaiendea tanzania ya viwanda au tunaenda mbali na tanzania ya viwanda, kama nilivyoweka awali kuwa, kama viwanda vikiwa vingi nchini basi ni wazi uzalishaji utakuwa mkubwa na uhitaji wa masoko ya nje ukawa mkubwa kiasi cha kuongeza kiwango cha exportations
Kupitia haya unaweza angalia ripoti zao na kufanya ufanano wa vingine vinavyoweza kuonyesha if we are matching towards or away from the Industrialized Tanzania
Wakati huo deni la taifa linazidi kupaa
Signed
OEDIPUS