Ripoti imeiva

Ripoti imeiva

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Yaani baada ya kuundwa makamati kibao,siku hizi wamikuja na mpya utaona kila anehojiwa,anaeulizwa anaeandika anae hariri wote sasa wametuhamisha kutoka kuundwa kwa kamati,ripoti imekamilika sasa wamekuja na Ripoti imeiva.
Yaani karibuni ripoti zote zimeisha iva hatujui ipi itaoza mwanzo.
Mlio na ripoti zilizoiva hebu ziwekeni hapa tuanze kuzila kabla hazijaoza.
 
Pointi yako ni nzuri ila siju unauliza kwa mantiki gani kwa kusema ripoti imeiva!naomba utueleze hao wanaosema ripoti imeiva maana siku hizi mimi siangalii TV wala kusoma magazeti maana habari zote nazipata JF probably I might have missed something somewhere!
 
Back
Top Bottom