Elections 2015 Ripoti: Kati ya Wagombea 11,933 waliowania Urais, Ubunge na Udiwani kwenye Uchaguzi wa mwaka 2015, Wanawake walikuwa 904 tu (asilimia 7.5)

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Uchambuzi wa Kijinsia wa Taasisi ya FES kuhusu Uteuzi wa Wagombea Ndani ya Vyama vya Siasa wa Mwaka 2020, umebainisha kuwa Uteuzi wa wagombea ndani ya Vyama vya siasa nchini Tanzania unakabiliwa na changamoto kubwa za Kijinsia, ambapo wanawake wanapata nafasi ndogo ya kuteuliwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.

Hata hivyo Vyama vya Siasa barani Afrika kwa ujumla na hasa Tanzania, vinaonyesha uwakilishi mdogo wa Wanawake. Kwa mfano, kati ya wagombea 14,501 waliowania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa mwaka 2017 nchini Kenya, ni Wanawake 1,259 pekee (asilimia 8.7) walioshiriki

Hali ni afadhali kidogo Nchini Afrika Kusini, ambapo kati ya wagombea 2089 waliogombea Uchaguzi wa Wabunge mwaka 2014, wanawake walikuwa 827 (asilimia 39.6)

.......

In performing their selection role, political parties in Africa generally and Tanzania in particular underrepresent women. For instance, of the 14,501 candidates who participated in the 2017 election in Kenya, only 1,259 (8.7 percent) were women (FIDA Kenya, 2018: 28). In South Africa, of the 2089 candidates who participated in the 2014 parliamentary elections, 827 (39.6 percent) were women (NEC South Africa, 2014:


27). In Tanzania, the underrepresentation of women candidates during elections is evident. Out of 11,933 candidates who contested for the 2015 presidential, parliamentary and council elections, only 904 (7.5 percent) were women (NEC, 2016: 43-45). Indeed, the percentage of women in Tanzania decreases from registered voters to nominated candidates to elected representatives. While women constituted 53 percent of all registered voters in 2015, they only constituted 7.5 percent of all nominated candidates and 5.4 percent of all elected candidates (National Electoral Commission (NEC, 2016: 72-75). Table 1 shows the percentage of nominated parliamentary candidates for all registered political parties since 2005. Although there is a consistent gain since 2005, the percentage of female candidates is still far from being equal to that of their male counterparts.

Chanzo: FES 2020
 
Hizo 7.5% ninyingi sana na inatakiwa zishuke zaidi ya hapo na ikibidi ziishe kabisa , hawa viumbe ni wa kutawaliwa tu! na sio kutawala tusilazimishe kushindana na nature.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…