RIPOTI MAALUM Ufisadi wa kutisha TFF-4

mzee ruksa hakukosea kuiita kichwa cha mwendawazimu
poor tff
 
Kwani hapo jamaa kosa lake ni nini,ye ameleta ripoti iliyochapishwa kwe gazeti hajafanya yeye huo uchunguzi alichofanya yeye ni kutupia tu humu basi..........au mkuu una maslahi binafsi juu ya hii kitu?
 
Acha ulofa siasa siasa soka ni soka hakuna kichaka cha kujificha
 
Usichanganye mambo hapa kumbe nipashe nao wanapigania point 3 au uwezo wako wa kufikiri umefika kikomo?.
Ukiwa na hela utadictate story wao kazi kuipublish. Kumbuka tangu mwanzo Manara aliomba Rais aingilie kati. Mara maandamano. Vyote hivyo peupe. Sasa mnakuja na huu usanii. Subiri uchaguzi ili TFF akae Aveva.
 
Ukiwa na hela utadictate story wao kazi kuipublish. Kumbuka tangu mwanzo Manara aliomba Rais aingilie kati. Mara maandamano. Vyote hivyo peupe. Sasa mnakuja na huu usanii. Subiri uchaguzi ili TFF akae Aveva.
Tuache hoja nyepesi kwenye Jambo la msingi ushabiki haufai wakati kutatua Matatizo yanayolikabiri soka letu
Angalizo;
Mi sio mshabiki wa Samahani[emoji83][emoji83][emoji83]
 

Mpinge kwa hoja, na sio kumlamizimisha ajadili topiki unazotaka wewe. Ungetumia muda kuthibitisha kama taarifa hii ni uongo kwa kiasi gani
 
Yani humu kuna mijitu mijinga hili ni mama lao yani halielewi mada inasemaje lenyewe linaleta siasa au Malinzi babako?
 
Waziri anayeshughulikia michezo yuko busy kuminya uhuru wa wasanii nchini wakati Malinzi yuko busy kufanya ufisadi TFF na jamaa zake wa karibu.
Serikali hawaruhusiwi kuingilia mambo ya TFF,wanaopaswa kumwadhibu Malinzi ni wanachama wa TFF ambao ndio walimchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…