Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
Imeripotiwa kwamba mfumo duni wa Elimu hauwapatii wahitimu wa sekondai wakiwemo Form Six sifa za msingi za kuajiriwa. Inasemekana pindi wamalizapo skuli hawaajiriki kwa sababu zifuatazo;
Hi ni changamoto katika jamii yetu
Nawakilisha!
- Wengi hawajui kusoma na kuandika
- Hawajui hisabati (Maths)
- Hawana nidhamu
- Wanachelewa hata kwenye usaili (interviews)
- Hawajui kusalimu mtu kwa kumpa mkono (hand shake) au
- Kumtakia mtu siku njema (Good morning)
- Hawajui kushiriki na kuendeleza mazungumzo yenye tija
- Hawana ujuzi
Hi ni changamoto katika jamii yetu
Nawakilisha!