beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Ripoti ya Jukwaa la Uchumi Duniani 2021 (World Economic Forum) ya pengo la Jinsia imeeleza kutokana na athari za mlipuko wa COVID-19 inaonyesha kuwa madhara ya kiafya na mtikisiko wa kiuchumi umeathiri zaidi wanawake kuliko wanaume, hivyo kizazi kingine cha wanawake kitalazimika kungojea usawa wa kijinsia kutoka miaka 99.5 hadi miaka 135.6.
TAMWA inasisitiza kuwawezesha wanawake kiuchumi na kiujuzi ili kupambana na majanga kama ya COVID-19
TAMWA inasisitiza kuwawezesha wanawake kiuchumi na kiujuzi ili kupambana na majanga kama ya COVID-19