Ripoti SDGs: Afrika inahitaji zaidi ya Tsh. Trilioni 13.62 kutokomeza janga la njaa kwa watu zaidi ya milioni 342 wasio na uhakika wa chakula

Ripoti SDGs: Afrika inahitaji zaidi ya Tsh. Trilioni 13.62 kutokomeza janga la njaa kwa watu zaidi ya milioni 342 wasio na uhakika wa chakula

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
Kwa mujibu wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) uagizaji wa chakula kutoka nje ya Kiafrika umezidi kuongezeka kuanzia mwaka 2023 kwa takriban mara tatu kutoka kutumia Dola Bilioni 35 (Tsh. Trilioni 95.37) hadi kufikia Dola Bilioni 110 (zaidi ya Tsh. Trilioni 299.75) ifikapo mwaka 2025.

Pia, makadirio ya Kilimo cha Biashara kwa Wakulima Wadogo na Biashara ya Kilimo ya mwaka 2022, yanaonesha bado Afrika ina pengo la ufadhili wa kilimo la Dola Bilioni 74.5 (zaidi ya Tsh. Trilioni 203.01) kwenye Kilimo cha Kibiashara Kidogo na cha Kati (SMEs) hasa katika eneo la Jangwa la Sahara.

===========

Zero Hunger

According to Africa Improved Foods (AIF) in 2019, to eradicate hunger in Africa would cost approximately $5 billion.

According to the World Meteorological Organization (WMO) in 2023, food imports by African countries are expected to increase by approximately three times from $35 billion to $110 billion by 2025.

According to the Commercial Agriculture for Smallholders and Agribusiness in 2022, there is an agricultural funding gap of $74.5 billion for agricultural small and medium-sized enterprises (SMEs) in sub-Saharan Africa.

MO IBRAHIM FOUNDATION/ SGDs
 
Back
Top Bottom