Ripoti: Sudan Kusini Kinara wa Nchi zenye mazingira hatarishi kwa Watoa misaada Duniani

Ripoti: Sudan Kusini Kinara wa Nchi zenye mazingira hatarishi kwa Watoa misaada Duniani

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Umoja wa Mataifa unasema Sudan Kusini inaendelea kuwa "mazingira yenye vurugu zaidi" kwa watoa misaada ya kibinadamu ikifuatiwa na Afghanistan na Syria baada ya Wafanyakazi 5 wa Mashirika ya Kutoa Misaada kuuawa wakiwa kazini Ndani ya Mwaka 2022 pekee

Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya kibinadamu nchini Sudan Kusini, Sara Beysolow Nyanti, ametoa wito wa kuchukuliwa kwa hatua za pamoja kushughulikia mzozo wa kibinadamu na kukomesha mara moja mashambulizi dhidi ya raia na wafanyakazi wa misaada

..........................................

The UN says South Sudan continues to be the "most violent context" for aid workers in the world followed by Afghanistan and Syria.

Five aid workers have been killed in the line of duty since the beginning of this year

It has prompted the UN humanitarian co-ordinator in South Sudan, Sara Beysolow Nyanti, to call for joint action to address the humanitarian crisis and an immediate end to attacks against civilians and aid workers.

She made the call in the capital, Juba, on the eve of World Humanitarian Day, which is celebrated annually on 19 August.

Across South Sudan, aid workers and mostly nationals continue to be affected by armed violence, bureaucratic impediments and targeted violence, the UN says.

“It takes a village to raise a child. In the same way, it takes an array of partners to support crisis-affected people. We need urgent collective efforts to help the vulnerable population in South Sudan,” said Ms Nyanti.

She added: "All armed factions must immediately cease targeting civilians, humanitarian personnel and their assets. Impunity must end.”

Source: BBC
 
Back
Top Bottom